Kila mwaka tarehe 8 Machi, dunia inaadhimisha siku ya kimataifa ya wanawake, tukio linalokumbusha safari ndefu ya wanawake kuelekea usawa wa kijinsia na haki za kisheria. Siku hii ni fursa ya ...
Tangu zamani kumekuwa na mitizamo kwamba jinsia ya kike ni dhaifu kuliko jinsia ya kiume, lakini tafiti nyingi zinaonyesha kuwa kuna mambo mengi ambayo wanawake wanaweza kuyafanya vizuri zaidi kuliko ...