Wahalifu wanauza miongozo kwenye mitandao ya kijamii kuhusu jinsi ya kuwalaghai watu kutuma picha au video zao za utupu ambazo walaghai huzitumia kuwatishia waathiriwa kuzitangaza iwapo watakataa ...
Wasiwasi kuhusu maudhui ya ngono katika michezo ya mtandaoni ya watoto unaongezeka. Ofcom, mdhibiti wa usalama mtandaoni, ameambia kampuni za teknolojia kuficha maudhui "sumu" kutoka kwa watoto na ...