WAKAZI wa kijiji cha Navikole kata ya Chawi, Halmashauri ya Mji Nanyamba mkoani Mtwara, wameipongeza serikali kwa ...
WAZAZI na walezi mkoani Mtwara wameombwa kuwekeza kwa watoto wa kike na wenye mahitaji maalum kwenye fursa mbalimbali za ...
WANANCHI wa Halmashauri ya Mji Nanyamba mkoani Mtwara watanufaika na mradi wa umwagiliaji wa Arusha Chini kata ...
WAISLAMU wameanza Mfungo wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhani. Sehemu kubwa ya waumini wa dini hii walianza jana. Hiki ni kipindi ...
TUME ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi Tanzania (PDPC) imesema imesajili taasisi 1,850 zinazokusanya na kuchakata taarifa na ...
KAMPENI ya Msaada wa Kisheria ya Mama Samia kwenye mikoa ya Arusha, Mbeya, Mwanza, Lindi, Rukwa, Pwani imewafikia na ...
TUME ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi (PDPC) imesema si takwa la kisheria mteja kuandika taarifa binafsi kwenye nyumba za kulala ...
TAASISI ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI) imeandaa huduma za upimaji wa magonjwa ya moyo bure kwa wanawake, wajawazito na ...
MRADI wa Bomba la Mafuta Ghafi la Afrika Mashariki (EACOP) kwa kushirikiana na mkandarasi wa kusambaza mabomba, ...
WATU wawili wamefariki katika matukio mawili tofauti akiwamo akiwemo mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Jordan aliyefia katika ...
SERIKALI imewekeza Sh bilioni tano za kujenga jengo la kituo cha tiba mionzi na ununuzi wa vifaatiba katika Hospitali ya ...
WAKALA wa Taifa wa Hifadhi ya Chakula (NFRA) umesema una akiba ya kutosha ya chakula katika maghala yake. Mkurugenzi Mkuu wa ...