Maniema inayomilikiwa na Jenerali Kumba ndiye aliyetoa msimamo huo akisema, Yanga ni klabu rafiki na kufanya mazungumzo ya kumweka sokoni Maxi ni kama kuwakosea.
Wadau wameshauri Serikali iwekeze kwenye ununuzi wa mashine na uimarishaji wa mifumo ya ukusanyaji kodi, ili kuepusha mianya ...
Waziri wa Viwanda na Biashara, Dk Selemani Jafo ameyasema hayo leo Ijumaa Januari 31,2025, wakati wa uzinduzi wa mfumo wa usimamizi wa ghala kupitia CCTV wa Bodi ya Usimamizi wa Stakabadhi ...
Kaimu Kamanda wa Jeshi la Zimamoto na uokoaji mkoani Kilimanjaro, Jeremiah Mkomagi amesema ajali hiyo imetokea eneo la Mdawi, Wilaya ya Moshi.
Hatua hii inakuja baada ya kukamilika kwa ukarabati na ujenzi wa ghorofa ulioanza baada ya soko kuungua Julai 10, 2021, ...
Hata hivyo, pamoja na kundi hilo la waasi kuanzishwa tarehe hiyo, makeke yalianza kuonekana zaidi miezi miwili baadaye, Juni 6, 2012.
Hatua hii inakuja baada ya kukamilika kwa ukarabati na ujenzi wa ghorofa ulioanza baada ya soko kuungua Julai 10, 2021, ...
Arusha. Halmashauri ya Arusha Vijijini imehitimisha mwaka wa fedha 2023/2024 ikiwa na bakaa ya bajeti ya Sh3.374 bilioni, fedha ambazo zilichelewa kuwasili kutokana na changamoto ...
Geita. “Hakuna zaidi ya uzembe, kilichofanyika ni uzembe.” Hii ni kauli ya Mkuu wa Takukuru Mkoa wa Geita, Azza Mtaita aliyoitoa akielezea mkwamo wa ujenzi wa Kituo cha Afya cha ...