Hatua hii inakuja baada ya kukamilika kwa ukarabati na ujenzi wa ghorofa ulioanza baada ya soko kuungua Julai 10, 2021, ...
Hatua hii inakuja baada ya kukamilika kwa ukarabati na ujenzi wa ghorofa ulioanza baada ya soko kuungua Julai 10, 2021, ambapo na serikali ilitoa Sh29 bilioni ili lifanyiwe ukarabati ...
Moshi. Watu watatu wamefariki dunia papo hapo baada ya gari aina ya Toyota Rav4 waliokuwa wakisafiria kugongana uso kwa uso na basi la abiria la Kampuni ya Ester Kuxury, mkoani Kilimanjaro ...
Siyo rahisi kuzungumzia safari ya msanii Marioo kwenye muziki bila kulitaja jina la mwigizaji Eva Nchedange ‘Lissah Actress’ ...
“Mke wangu alifariki dunia ghafla baada ya kuugua kwa siku tatu tu. Alikuwa anavuja damu kila mahali tulipompeleka hospitali ...
Bunge limepitisha Muswada wa Marekebisho ya Sheria za Kazi namba 13 wa Mwaka 2024, ambapo sasa likizo ya uzazi kwa mwajiriwa ...
Arusha. Uwekezaji katika miundombinu ya sekta ya nishati umetajwa kuwa nyenzo ya kuyafikia maendeleo endelevu nchini na ...
Dar es Salaam. Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dk Alex Malasusa ameitaka Mamlaka ya Mapato Tanzania ...
Kwa mujibu wa Mnangagwa, suala la ulinzi wa raia nchini humo si la hiari, bali la kisheria kwa mujibu wa makubaliano ...
Mkuu wa Wilaya ya Arusha, Joseph Mkude, amefika na kuwatuliza wafanyabiashara hao, akikiri eneo walilopewa halifai kwa ...
Waombolezaji hao wameongozwa na Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Said Mtanda akiambatana na Mkuu wa Wilaya ya Nyamagana, Amina ...
Bukoba. Watu wawili kati ya watano waliofikishwa katika Hospitali ya Manispaa ya Bukoba mkoani Kagera wakihisiwa kuwa na ...